Home » » MAAJABU: MUME WANGU AMEMPA MIMBA MBWA!

MAAJABU: MUME WANGU AMEMPA MIMBA MBWA!

Written By stephen kavishe on Tuesday, August 5, 2014 | 9:59 AM

Bw. Hamis Juma akijitetea kuhusiana na shutuma za mkewe.
wangu aanze mchezo huo huyo mbwa mmoja mweusi (pichani) amenawiri kupita kiasi, naamini amempa mimba.


Kweli dunia sasa ni vululuvululu! Mwanamke mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Cecilia Hamis (pichani), mkazi wa Majoe Mjimpya Relini jijini Dar es Salaam amemlalamikia mumewe aliyemtaja kwa jina la Hamis Juma kwamba ametembea na mbwa wao mweusi hadi kumpa mimba.Akizungumza na Uwazi mwishoni mwa wiki iliyopita nyumbani kwake, mwanamke huyo alisema alibaini hilo wiki mbili zilizopita.

Mwanamke  anayejitambulisha kwa jina la Cecilia Hamis akiwa na mume wake(mtuhumiwa) Hamis Juma.SOMA ZAIDI>>>

0 comments :

Post a Comment