Home » » KIJANA AMUUA MAMA YAKE KISA CHAKULA..

KIJANA AMUUA MAMA YAKE KISA CHAKULA..

Written By stephen kavishe on Friday, August 8, 2014 | 12:00 PM

Kijana mmoja nchini kenya ameshtakiwa kwakosa la kumuua mama ake mzazi bila sababu liyokua ya msingi,, hii ni kutokana na kwamba, walishindwa kuelewana katika swala la chakula.... ilo mpelekea kijana uyo kumuua mama yake mzazi..

0 comments :

Post a Comment