Home » » KIJANA ALIYEZUA TAFRANI POSTA MPYA

KIJANA ALIYEZUA TAFRANI POSTA MPYA

Written By stephen kavishe on Wednesday, August 6, 2014 | 12:44 PM

 Kijana ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja akidhibitiwa na polisi wa doria, baada ya kumtia nguvuni wakati akileta vurugu maeneo ya Posta mpya jijini Dar, akielezwa kuwa amechanganyikiwa ambapo alikuwa akipiga watu hovyo na kupiga magari mawe na kutishia usalama wa wapita njia.
 Wakimshangaa kijana huyo aliyekuwa hazungumzi, huku akiwa kalala chini kifua wazi.
Akipelekwa kupandishwa gari la polisi kuelekea kituoni.

0 comments :

Post a Comment