Home » » HIVI NDIVYO WEMA NA DIAMOND WALIVYO KULA BATA JIJINI MWANZA

HIVI NDIVYO WEMA NA DIAMOND WALIVYO KULA BATA JIJINI MWANZA

Written By stephen kavishe on Wednesday, August 13, 2014 | 9:00 AM


  Kupitia account ya wasafi instagram,wamepost picha zikiwaonyesha Diamond na wema wakiwa ndani ya Boat kwenye ziwa victoria lililoko jijin
Mwanza,bila shaka ilikuwa kurefresh mind baada ya show ya fiesta waliyofanya juzi,picha zingine zinamwonesha Diamond akiride Boat.  

0 comments :

Post a Comment