Home » » HAYA NI MAJANGA BAADA YA MWEZI MTUKUFU KUISHA,, ANGALIA HII CLIP YA LULU MICHAEL..

HAYA NI MAJANGA BAADA YA MWEZI MTUKUFU KUISHA,, ANGALIA HII CLIP YA LULU MICHAEL..

Written By stephen kavishe on Tuesday, August 12, 2014 | 9:00 AM

Msaii na muigizaji wa filamu nchini ajulikanae kama elizabeti michael, ameonekana akikosa maadili, baada ya kuvaa vazi ambalo halistahili hasa wakati wa mchana kweupee...

ukizingatia yeye ni kioo cha jamii inayomzunguka , ameonekana akiingia maeneo flani apa mjini akiwa katupia vazi ilo bila wasi wasi, watu wakimshangaa,, angalia kwa ku bofya hapo juu.......
Je ingekua wewe umekutana nae hivo ungefanyaje...????

0 comments :

Post a Comment