Home » » DUHH...PENZI LA SHILOLE NA MPENZI WAKE NUH MZIWANDA LAOTA MBAWA..SASA ZILE TATOO ATAFUTAJE ZA SHILOLE

DUHH...PENZI LA SHILOLE NA MPENZI WAKE NUH MZIWANDA LAOTA MBAWA..SASA ZILE TATOO ATAFUTAJE ZA SHILOLE

Written By stephen kavishe on Wednesday, August 6, 2014 | 9:30 AM Shilole akiwa na Nuh Mziwanda enzi za mapenzi motomoto!
Stori ya Nuh Mziwanda kujichora tatoo yenye jina la Shilole ilisambaa sana na wengi walikua wakijiuliza siku ikitokea wameachana itakuaje hasa upande wa Nuh ambaye ndiye aliyejichora tatoo hiyo
Maelezo ya Nuh Mziwanda yamedai kuwa sababu zilizosababisha waachane ni msg ambayo aliikuta kwenye simu ya Shilole ambayo inasemekana ilitumwa na mwanaume,Nuh alipomwambia Shilole apige alionekana kujikanganya.

Nuh Mziwanda kaongea na Soudy Brown kwenye You heard na kazungumza mambo mengi ambayo yametokea kwenye uhusiano wao!

0 comments :

Post a Comment