Home » » BRIAN LARA NA DWIGHT YORKE WAJIACHIA HUKO BARBADOS

BRIAN LARA NA DWIGHT YORKE WAJIACHIA HUKO BARBADOS

Written By stephen kavishe on Wednesday, August 6, 2014 | 2:00 PM


Brian Lara (katikati) akijiachia na mrembo wakati wa tamasha la kumaliza mavuno huko Visiwani Barbados.
Straika wa zamani wa klabu za Manchester United na Aston Villa, Dwight Yorke naye akiburuduka katika tamasha hilo.
Brian Lara ndani ya tamasha hilo.
Yorke akisalimiana na shabiki.
ALIYEKUWA nahodha wa timu ya kriketi ya Visiwa vya West Indies, Brian Lara na straika wa zamani wa klabu za Manchester United na Aston Villa, Dwight Yorke jana walijiachia na wananchi wa Visiwa vya Barbados katika tamasha la kumaliza mavuno.
York alipata wasaha wa kufurahi na kutaniana na majirani zake wa Barbados katika tamasha hilo.

0 comments :

Post a Comment