Home » » ANGALIA PICHA YA KIJANA ALIYEONGEZEWA HUKUMU KWA KOSA LA KUJISAIDIA MAHAKAMANI

ANGALIA PICHA YA KIJANA ALIYEONGEZEWA HUKUMU KWA KOSA LA KUJISAIDIA MAHAKAMANI

Written By stephen kavishe on Saturday, August 9, 2014 | 8:28 AM

NOUMER SANA
Mkaka huyu alikua na kesi ya jinai mahakamani,amejikuta akiongezewa mashtaka baada ya kuulizwa maswali magumu sana na hakimu,na hatimaye akajikuta breki zimefeli na kuachia ushuzi mkubwa uliofanya mpka watu walioenda kuskiliza kesi ile kutoka nje na kuondoka kabsa.

0 comments :

Post a Comment