Home » » ALLY KIBA ATOA MAJIBU KWA NINI KAFUTA FOLLOWERS WAKE

ALLY KIBA ATOA MAJIBU KWA NINI KAFUTA FOLLOWERS WAKE

Written By stephen kavishe on Friday, August 8, 2014 | 1:00 PM

Baada ya kutupiwa lawana nyingi na maswali yakiendela kumiminika ili atoe sababu ya kuunfollow watu kwenye mtandao wa Instagram hatimaye msanii Ali Kiba ameamua kujibu kama ifuatavyo:  Hapo juu ni swali kutoka kwa mtangazaji wa Times FM Fadhili Haule na fans wengine
Hili ndo jibu la Ali Kiba. So ukitaka kuwasiliana nae tanya kumfollow twitter.NA Jestina George

0 comments :

Post a Comment