Home » » WANANCHI WAMIMINIKA MAONYESHO YA SABASABA WIKIENDI

WANANCHI WAMIMINIKA MAONYESHO YA SABASABA WIKIENDI

Written By stephen kavishe on Monday, July 7, 2014 | 6:12 PM

Foleni ya kuingia viwanjani.

Baadhi ya wananchi waliokuwa viwanja vya maonyesho.
Banda la polisi kitengo cha ufundi wa pikipiki.
Wanamuziki wa bendi ya Mpoto.
Koplo  Watanda (kulia) akitoa maelekezo kwa mwandishi wa Global Publishers  kuhusu matumizi na matunzo ya farasi walio nao katika jeshi la polisi.
Mchezo wa nyoka toka kwa kikundi cha Mpoto uliwavutia watu wengi kwenye banda la PSPF.
Mrisho Mpoto akitumbuiza katika banda la PSPF.Mwana mama akipewa maelezo kuhusu farasi.Mbwa aitwaye Eve wa jeshi la polisi atumikaye kunusa mabomu na madawa ya kulevya.
Mbwa aitwaye Kambi wa Jeshi la polisi aliyefundishwa kukamata waharifu.
Baadhi ya bidhaa zilizoko kwenye maonyesho..
MAONYESHO ya 38 ya biashara ya kimataifa ‘Saba Saba’ yamewavutIa watu wengi kutokana na bidhaa, huduma na michezo inayoonyeshwa katika viwanja husika vilivyoko Mtoni, Dar es Salaam.

0 comments :

Post a Comment