Home » » VIUNGO VYA BINADAMU VYANASWA BUNJU, DAR

VIUNGO VYA BINADAMU VYANASWA BUNJU, DAR

Written By stephen kavishe on Tuesday, July 22, 2014 | 8:15 AMJESHI la Polisi Wilaya ya Kinondoni jijini Dar limekamata viungo mbalimbali vya binadamu
vilivyowekwa kwenye mifuko ya plastiki na kuhifadhiwa katika machimbo ya kokoto ya Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es salaam.

Taarifa za tukio hilo zimethibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Camilius Wambura.

Uchunguzi zaidi wa tukio hilo unaendelea na taarifa zaidi kuhusu tukio hili zitaendelea kuwajia.

0 comments :

Post a Comment