Home » » SAGNA NAYE AANZA MAMBO YETU YALEEE, ONA SASA KITU HIKIIII!!

SAGNA NAYE AANZA MAMBO YETU YALEEE, ONA SASA KITU HIKIIII!!

Written By stephen kavishe on Saturday, July 19, 2014 | 8:02 PM

AKIWA tayari amesaini kwa mabingwa wa Ligi Kuu England na ametoka kucheza Kombe la Dunia Ufaranasa nchini Brazil, Bacary Sagna yuko kwenye mapumziko kabla ya msimu mpya.
Wakati wachezaji wenzake wa Manchester City wakicheza mchezo wa kirafiki na Hearts kujiandaa na msimu, Sagna alikuwa Miami akila bata na mpenzi wake Ludivine.
Beki huyo alionekana aliyeridhikana kujiachia kabisa chini ya jua.

Tomasa mzigo wako mwenyewe baba: Beki wa pembeni wa Manchester City, Bacary Sagna akimtomasa mke wake wakiwa ufukweniHoliday: Bacary and Ludivine Sagna looked relaxed on their holiday in Miami before the new season
Bacary na Ludivine Sagna wakijiachia Miami
Sagna, ambaye atakuwa akipata mshahara wa Pauni 150,000 kwa wiki Man City, baada ya miaka nane ya kuwa kazini Arsenal, amekanisha kwamba amefuata fedha Manchester.
"Nakwenda kuweka saws kila kitu, kwa sababu nimeendelea kusoma kwamba nimefanya hive kwa sababu ya fedha,"amesema.
"Ninachotaka kusema ni kwamba nimebaki Arsenal kwa mkataba huo huo tangu mwaka 2008 na sijawahi kuomba fedha zaidi.
All smiles: Sagna has agreed a three year deal with the Premier League champions worth £150,000-a-week
All smiles: Sagna has agreed a three year deal with the Premier League champions worth £150,000-a-week
Uplifting: The pair spent time together in the water before sunbathing on the beach
Uplifting: The pair spent time together in the water before sunbathing on the beach
"Kwa mtu anayefikiri ni kwa ajili ya fedha, siyo. kwamba tu nilitaka kubadilika. Nilihitaji kujiinua katika maisha yangu ya kazi na nafikiri wakati ulifika.
"Haikuwa rahisi, kwa sababu tulikuwa bado kwenye mashindano ya Kombe la FA na ilikuwa ngumu kutuliza akili. Nilituliza akili katika timu yangu kwa sababu nina heshima mubwa Arsenal,".

0 comments :

Post a Comment