Home » » RAIS KIKWETE ZIARANI NYASA, RUVUMA

RAIS KIKWETE ZIARANI NYASA, RUVUMA

Written By stephen kavishe on Tuesday, July 22, 2014 | 12:30 PM

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi wa Daraja la Ruhekei zilizofanyika katika kijiji cha Mkaole wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma leo.Kushoto ni Waziri wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli.

Daraja la Ruhekei lililozinduiwa rasmi leo na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika kijiji cha Mkaole wilyani Nyasa mkoani Ruvuma leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mamia ya wakazi wa mji Songea wakati alipoingia katika uwanja wa michezo wa Majimaji mjini humo ambapo aliwahutubia katika mkutano wa Hadhara.Rais Kiwete yupo katika ziara ya kikazi ya wiki moja mkoani Ruvuma kukagua na kuzindua miradi ya maendeleo.

0 comments :

Post a Comment