Home » » Rais Kikwete akinunua samaki gengeni

Rais Kikwete akinunua samaki gengeni

Written By stephen kavishe on Monday, July 14, 2014 | 8:41 AMRAIS Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakinunua samaki katika kibanda, katika Kijiji cha Bweni, Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, juzi, baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa maabara Shuke ya Sekondari Kipumbwi. (picha: Freddy Maro/Ikulu).

 

0 comments :

Post a Comment