Home » » PICHAZ...BUS LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI HUKO WAMI.

PICHAZ...BUS LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI HUKO WAMI.

Written By stephen kavishe on Saturday, July 5, 2014 | 7:19 PM


Ajali imetokea mida ya saa nne karibu na wami kutokea dar es salaam.. gari ni kampuni ya dar express iliyokua ikielekea nairobi.. Abiria wengi wamenusurika kutoka ila kuna majeruhi wachache ambao haijalikana bado kama kuna aliyekufa...

HABARI HII INAKUJIA KWA UDHAMINI WA KALINDI YETU LEO

0 comments :

Post a Comment