Home » » Picha 9 za harusi ya Jude Okoye kaka yao P Square

Picha 9 za harusi ya Jude Okoye kaka yao P Square

Written By stephen kavishe on Sunday, July 20, 2014 | 10:30 AM

1Baada ya kuwashuhudia wadogo zake wakifunga ndoa hatimaye Jude Okoye kaka wa Peter na Paul wa P Square amefunga ndoa na mchumbwa wake Ifeoma Umeokeke.

Jude Okoye ameshiriki kwenye kazi nyingi za P Square hasa kwenye ku-direct video zao za mwanzao kabisa. Hivi sasa amemuoa Ifeoma ambaye alikuwa Miss Tourism 2012.
2
3
4
5
6
7
8
9

0 comments :

Post a Comment