Home » » Mtoto Mary apatikana akiwa hai, aliibwa Changanyikeni kapatikana Tandale. Mwizi wake akamatwa

Mtoto Mary apatikana akiwa hai, aliibwa Changanyikeni kapatikana Tandale. Mwizi wake akamatwa

Written By Bewith Jeddy on Thursday, July 24, 2014 | 2:56 PM

Mungu mkubwa jamani tumshukuru maana mtoto Merry amepatikana na huyo kulia naskia ndo aliyemuiba.

Wapenzi kwa uwezo wa Mungu mtoto Maryline amepatikana. Aliibwa Changanyikeni kapatikana
Tandale. Huyo pembeni mwenye blue ndio mwizi mwenyewe alikuwa houseboy wao zamani. Kwa nini alimuiba? Je yupo salama na afya njema? wazazi hawajapatikana bado kuongea simu zimezima. Habari zaidi zitawaijia tutakapo zipata.

0 comments :

Post a Comment