Home » » Miriam Odemba akava jarida la New African Woman

Miriam Odemba akava jarida la New African Woman

Written By Bewith Jeddy on Saturday, July 19, 2014 | 12:39 PM


Mrembo na mwanamitindo waa Tanzania, Miriam Odemba amekava jarida la New African Woman la Afrika Kusini. Jarida hilo linahusika na urembo, mitindo, afya, familia na mambo
mengine na linalenga katika kuonesha utamaduni na urembo halisi wa mwanamke wa kiafrika.
“Finally….and…drumroll…to our esteemed South African readers….heading your way soon…here is the August/September edition South African cover. Our African Rose Miriam Odember.” Wameandika.

 Naye Miriam Odemba amepost picha ya jarida hilo kwenye Instagram na kuwashukuru waandaaji wa jarida hilo kwa.

0 comments :

Post a Comment