Home » » MAMBO YA USIKU NI HATARI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

MAMBO YA USIKU NI HATARI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Written By stephen kavishe on Thursday, July 17, 2014 | 7:58 AM

Katika kile kinachoonyesha kuwa ni kukubalika kwa ngoma za kibongo ni pale ambapo wazung walionyesha kuikubali ngoma ya mdogomdogo ya diamond na kucheza kiustadi kubwa kama vile  wanajua kinachozungumziwa, hii nliktana nayo maisha club dodoma upande wa vip ambapo ilipopigwa ngoma hiyo ya diamond wazungu ambao wengi ndio wanakuwa upande wa VIP walipiga kelele huku wakiiga staili ya kucheza nyimbo ya
mdogomdogo, pia wakijaribu kutamka maneno mawili matatu japo kwa shidaa, 

0 comments :

Post a Comment