Home » » MAMA: WANAJITONGOZESHA KWA DIAMOND

MAMA: WANAJITONGOZESHA KWA DIAMOND

Written By stephen kavishe on Wednesday, July 16, 2014 | 8:40 AM


MAMA mzazi wa nyota wa muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kassim ‘Bi Sandra’ amesema baadhi ya wasichana wanajitongozesha kwa mwanaye kwa kuwa ni mtu maarufu.

Mama Diamond amesema wasichana wamekuwa na tabia ya kutumia hata namba yake ya simu na kutuma picha za utupu kwake na kwa mwanaye.

Mama mzazi wa msanii nyota wa muziki, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kassim ‘Bi Sandra’ akitafakari jambo.
“Napata shida kwa kweli, wasichana wanajitongozesha kwa kupitia namba yangu ya simu, mtu anakupigia anamuulizia Diamond na wengine ndiyo wanatuma hadi picha za utupu kwa kutumia hii mitandao ya kijamii wenyewe wanasema,” alisema.

0 comments :

Post a Comment