Home » » MAJANGILI WANASWA

MAJANGILI WANASWA

Written By stephen kavishe on Wednesday, July 23, 2014 | 1:30 PM

Majangili waliokamatwa wakiwa chini ya ulinzi.
Swala aliyeuawa na majangili hao.
WIMBI la majangili limeendelea licha ya kuwepo kwa ulinzi wa kutosha, kwa mara nyingine tena kwenye hifadhi ya Serengeti ikiwa ni siku mbili tangu kuondoka kwa mmiliki wa Singita Grumeti ambaye alikuwepo kwa wiki mbili kama ilivyo utaratibu wake wa kila mwaka.
Askari wake  wameendelea kukamata majangili ambapo usiku wa kuamkia leo wamewakamata majangili watatu wakiwa na swala.

0 comments :

Post a Comment