Home » » Lil Wayne hivi sasa yupo kwenye mapenzi na msanii huyu.

Lil Wayne hivi sasa yupo kwenye mapenzi na msanii huyu.

Written By stephen kavishe on Sunday, July 20, 2014 | 2:30 PM

2e540eea-2092-4d3e-a404-e2690d32db74Walionekana wakiwa pamoja kwa karibu sana kwenye tukio la BET awards na baadae
mapaparazi waliwapiga picha kwenye after party na pia waliondoka pamoja usiku huo.
Hivi sasa wameweka wazi kabisa na wameingia kwenye tukio la The Espys wakiwa wameshikana mikono wakifurahia tukio zima. Lil Wayne alihusishwa na tetesi za kuwa kwenye mapenzi na mwimbaji Christina Milian kwa muda mrefu lakini hivi sasa imekuwa wazi kabisa kuhusu mapenzi yao.
index
indexfff

0 comments :

Post a Comment