Home » » Khloe Kardashian aangua kilio

Khloe Kardashian aangua kilio

Written By Bewith Jeddy on Friday, July 11, 2014 | 11:06 AMNi baada ya kukuta vito vya thamani ya dola za kimarekani 250,000 vimeibiwa kutoka kwenye SAFE yake. Vingi vyake vikiwa ni vya Lamar Odom aliyekuwa mume wake.  Anahisi walioiba ni wafanyakazi wa ndani, au film crews, wakaguzi n.k.  Dada yake amemshauri wakaripoti polisi.

0 comments :

Post a Comment