Home » » Kala Jeremiah kufanya Collabo na Msanii huyu wa Marekani

Kala Jeremiah kufanya Collabo na Msanii huyu wa Marekani

Written By stephen kavishe on Monday, July 21, 2014 | 6:50 PM

Baada ya "Simu ya Mwisho" kwenda vizuri sasa ni kitu kipya tena chanukia kutoka kwa Rappa Kala Jeremiah.
Kwa kipindi hiki cha muda mfupi wasanii wa Tanzania wamekuwa na kiu sana ya kupiga hatua katika kazi zao za Muziki ili kuweza kutanua / kutangaza muziki wao kimataifa zaidi. Tumeona kwa Diamond akiwa amemshirikia Davido, Iyanya, Mafikizolo n.k Pia kwa msanii kama AY na Mwana Fa na J.Martin n.k. Sasa imefika zamu ya Kala na kwa upande wake amevuka anga mpaka Marekani na kuamua kufanya ollabo na Msanii "Dolly Parton" Kala ameeleza kuwa atafanya nae Remix ya "COAT OF MANY COLORS" so nadhani mambo yataenda kama yalivyopangwa na mdundo utatufikia ukiwa na ladha nzuri.


0 comments :

Post a Comment