Home » » HATIMAYE PENNY WA DIAMOND PLATINUMZ AMUWEKA BAYANA MPENZI WAKE...!

HATIMAYE PENNY WA DIAMOND PLATINUMZ AMUWEKA BAYANA MPENZI WAKE...!

Written By stephen kavishe on Saturday, July 26, 2014 | 4:00 PM


A picture is worth a thousand words Mtangazaji wa 93.7 EFM Radio, Penny Mungilwa , ameposti picha kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa na pete inayosemekana amevishwa na mchumba wake mpya siku za hivi karibuni, ingawa bado yeye mwenyewe hajaweka wazi kuhusiana na jambo hilo.

0 comments :

Post a Comment