Home » » Hapana chezea Mange Kimambi awapa bakora maadui zake

Hapana chezea Mange Kimambi awapa bakora maadui zake

Written By Bewith Jeddy on Wednesday, July 16, 2014 | 10:22 AM

USIPOJIPANGA NTAKUPANGA……LOL…….
 MANGE  44 COMMENTS  JUL 16,2014 UNCATEGORIZED
First of all Mungu atawalaani sana kwa kunishuhudia uongo mwezi huu mtukufu, cha pili atawalaani pia sababu instead of mimi kukaa nikiweka products kwenye website yangu nimekaa na deal na wapuuzi…. Ila this time imebidi nijibu sababu my reputation is on the line….. MY WHOLE BUSINESS STRUCTURE
DEPENDS ON MY REPUTATION AS AN HONEST AND FAIR BUSINESS WOMAN ,KWA HIYO LAZIMA NIJIBU HILI….

Kama mnavyonijua huwa siongei bila evidence. Haya twende kazi….
The whole idea ya high end wigs ilianzia na rafiki yangu mmoja anakaa Nigeria
aliniuliza about a wig I once used nikamwambia bei akashangaa sana akasema in Nigeria zinauzwa $1500
kwa hiyo nikimuuzia whole sale  kwa 800 au 900 atatengeneza hela na atawa undercut wauzaji wa huko atayauza kwa 1200
Mpare na mie hapo hapo nikapata business idea nikasema let me find the very best ones, basi nikampata huyu dada on insta kwa kweli nikadata.
Hiyo hapo ni link ya website naomba muangalie bei. Hiyo ni bei ya yeye kukutengenezea wigi tu, ila unamtumia nywele zako mwenyewe anakutengenezea wigi.
tumeelewana eeeh. Hiyo ni bei ya utendani kazi bila nywele. Wapuuzi wengi hapa ndo walipojichanganya, sasa ngoja niwape shule.
Huyu dada aliweka mpaka na link ya kampuni aliponunulia nywele ya wigi nililokuwa nimelipenda, na ukweli ni kwamba mimi siwezi kuuza kitu without me trying it out first nikasema ngoja ninunue nywele nimtumie anitengezee nione quality yake kabla sijawatumia wateja
Naomba uweke akiba akilini kwamba cheapest price yake hapo kasema ni $175. sasa tuchukue hiyo 175 tuache na bei ya express ambayo ndo ningekuwa natumia.
Basi mpare nikatoka mdogo mdogo mpaka kwenye hiyo website, maana nilitaka niwe natumia the very best hair possible.
jamani kumbukeni issue imetokea jana usiku. Naomba muangalie bei za nywele. alafu na wewe mwenyewe nenda ukaangalie.
Basi nikanunua nywele bundle 3 hapo hapo jinsi nilivyokuwa na mcheche….. Yani nilikuwa nafatisha maelezo ya mtengeneza mawigi to the T maana nilitaka nywele zitoke vile vile.
Hii ndo payment niliyofanya kupitia pay pal. Bundle 3 hizo jamani chekini bei. $400. Hizo chenji ntazisamehe,ntampa Leila apandie  mabasi Brooklyn.
haya sasa naomba tujumlishe dola 400 + 177 ya yule dada how much is that $575. sawa eeh?
haya twende kazi kama mlivyoona kwenye post zangu jana kuhusu nywele nilisema wigi zote zitakuwa na lace closure
Haya hii ndo bei ya lace closure. Naomba kuweka msisitizo kuwa hii website ni website  niliyonunulia nywele pia
ni website ambayo nimetoa kwa huyo huyo mtengeneza mawigi maana nilitaka nywele zitoke vile vile jinsi navyowapenda wateja wangu.
yani nilifata maelezo yake kama nasoma swali la mtihani
kwenye ile 575 yetu naomba uongeze 124
How much imefika hapo? $699 sawa eeeh? bado tupo pamoja?
sasa naomba uweke na usafiri wa kutoka marekani mpaka Africa kila mtu anajua dhl, fedex etc cost ya kutuma hili wigi kwako
will cost between 30-60. mpaka hapo wigi lako limenicost more than $700 dollars tuseme limenicost between 730-760
Mimi niliwapa cost ya 800. sasa wapenzi wangu niambie faida ya dola 40-50 kwa kila wigi  la dola 800 ni mbaya? naomba niambieni ni mfanyabiashara gani angefanya hii na kujipa faida ya around 50 dollars only? mtu mwingine si angetafuta hata profit ya 50%. Watu hawajui mimi nimesomea biashara, naamini ntapata faida kubwa kwa kuuza vitu vingiiiiiiiii kwa profit ndogo kuliko kuuza vitu vitatu kwa profit kubwa.
Basi sister wenu jinsi nilivyo na haraka nikamtumia email huyo mnugu anaetengeneza hayo mawigi nikamweleza kuwa nimeshanunua nywele kwenye
kampuni aliyoitaja yeye na nimezituma nywele ziende kwake moja kwa moja. Nyewele zinatoka Canada sasa nikaona zitoke Canada zije kwangu then nimtumie
huyu dada ntachelewa so nilivyonunua nikaweka shipping address ya huyu mAfrican American ili tufanye fasta zaidi.
Na hapo hapo nikamweleze kuwa naomba tufanye biashara nna market kubwa sana Africa. Jamani hivi mtu anaetaka kuiba kazi ya mtu akaifanya yake hivi kweli anaongea na mwenye mali kumwambia wafanye biashara? Ingekuwa nimeweka picha za wigi zake alafu nikajifanya nimetengeneza mie nikauza its another story but i  informed her. Ila ukweli lazima usemwe na kwenye makosa lazima nikubali, kosa langu mimi hapa ilikuwa ni kiherehere cha kurusha picha
kabla huyu mnugu hajanibu kuwa anaweza au hawezi? mie nilijua hii ni kampuni na kwamba wanatengeneza tu mawigi. Only baada ya kumtumia nywele ndo nimekuja kujua kuwa anachukua order kwa appoitnment na yupo peke yake, mie nilijua yeye ni ndo mwenye kampuni ya nywele wana produce nyingi kumbe sio.
Naombeni msome email yangu na msome jibu lake. Hakunijibu chochote kuhusu biashara mie nikadhani labda anafikiria then ataniambia baadae ila mie nikaanza tangaza mawigi maana nilidataje nae na nilijua wengi sana Africa- wanatafuta mawigi high quality hawapati. Niliiona fursa jamani.
Nikachukua picha za nywele zake nikatoa logo nkaziweka, sasa jamani hapo nimekosea nini? hivi mlitaka niache logo ili mjue nimetoa wapi?? sasa hapo nafanya biashara au nacheza makida? si bora nikae ninyonyeshe mwanangu? Na pia sikuona ni big deal kutumia picha za mtu ambae naenda kununua products kwake. Ni kama niweke products za Gucci kwenye website yangu si ntatumia picha za Gucci? unadhani Gucci watanimind? no ways as long as
nauza the original Gucci na sio fake Gucci alafu natumia picha zao na jina lao. Sisi watu weusi tuna laana za drama jamani.
haya tuendelee na story
Kwa vile jana niliingia kulaa saa moja asubuhi sababu ya website leo nimeamka around saa 6 mchana,naamka nakuta missed calls zaidi ya mia whatsapp message ndo hazisomeki wanaonipenda wakiniambia niamke ningie instagram
ndo nkakutana na hii kwanza, huyu ndo mtengeneza nywele mwenyewe. AKarusha hiyo, basi nikajikaza nikawa calm nikaanza kusoma maelezo ya huyu mnugu.
Kidogo nilimwelewa na pia sikumwelewa kwanza kabisa yeye mwenyewe kwenye comments zake amekubali kuwa nilim contact kuwa tufanye biashara Africa
ila akasema hakunijubu kitu.Which is true akadai nataka kuiba kazi yake, hivi watu weusi tukoje jamani i think ndo maana all great inventions in the world zimefanywa na mtu mweupe, weusi akili zetu ni drama drama and drama and not money. Jamani nauliza tena mtu anaetaka kuiba kazi yako huwa anakuomba mfanye biashara? pia kwenye post zangu nilisema kabisa ni mtu mwingine anaetengeza hizi wigi sio mimi na nikamsifia sasa hapo inakuwaje? Ila katika kusoma comments pia nikaelewa kuwa huyu dada amekuwa pumped sana na watanzania wenzangu ambao ndo wamempa kichwa na kumwambi its true im a scammer. One big point niliyotoka nayo kwenye comments za huyu dada na ambacho ndo kilichomuuzi sana huyu dada ni kwamba alidhani mie nitamlalia kibiashara kwamba nanunua kwake wigi $150 then mie naenda kuuza $800 , akapanick akasema naweka profit ya 400%. Mneona point ya mnugu hapo? kati ya vyote alichochukia ni hicho cha mimi kupata profit ya 400%. Hivi jamani mie ntakuwa mwizi wa kiasia gani jamani kujiwekea profit kubwa hivyo.
Huyu dada alidhani na mie ntafanya biashara na nyie kama yeye anavyofanya biashara na wateja wake, alidhani kwamba nimewapeni hiyo bei ya $800 alafu
mnanunua nywele zenu wenyewe mnanitumia kama vile wateja wake yeye wanavyofnya. hivyo dola $150 yeye ana charge bila nywele nywele anataka ukatafute mwenyewe umtumie.  Ila mimi biashara yangu ilikuwa tofauti, kwanza najua Tanznaia- Africa hakuna nywele za viwango vya juu na zikiwepo hazishikiki
so mie kama nilivyoeleza jana naweka nywele mwenyewe hakuna kunitumia nywele. Mnaona hapo mnugu alipojichanganya????? hakukaa chini akafikiria maybe she is buying the hair too akadhani nawapiga juu kwa juu….lol… Ila narudia tena watu weusi ndo tatizo letu uwezo wa kufikiri huwa ni mdogo sana tunapenda ziaidi drama kuliko kukaa chini na kufikiria.
Another thing pia ndo maana weusi hatuendelei maana mtu anaumia wewe uta make money kuliko yeye, sasa yeye huyu mwenywe mawigi,lets say kweli n
ningekuwa mtu wa tamaa nikawa napata 400% yeye inamuhusu nini? yeye si anauza kwangu na mimi nikauze navyoweza? inahusu nini napata profit gani? hata kama ingekuwa kweli napata that much? black tumeumbwa na roho za vikorosho kuliko yeye awaze kuwa biashra yake itakuwa ntamuuzia yeye anawaza mimi ntapata nini… Lol…
Sasa ndugu zangu wa bongo kwa vile mmemjua huyu please naomba mmoja tu aende front akanunua kwake aone kama hajaspend what i spent or more than that hapo ndo mtakapojua thamani yangu kwenu kwenye kuwaletea products bora kwa bei poa sana, unless kama utamtumia nywele za mchina….lol..
Haya tuendelee na habari.
Haya sasa ngoja niwapange hawa magume gume yalomshinda mtume…..
Basi bwana ngoma ikapata mchezaji, mnakumbuka some comments humu navyowaambiga anaandika Linda privati jeti wengine
mkasema Linda yupo busy anashona hana time, haya mmeona sasa? Yani istagram page yake imejaaa hii issue yani kaivalia njuga….
naomba msome hiyo comment yake hapo na yeye analia na mimi kumake 400%. Hivi kumbe mnaijua hollywoodshopaholics nilidhani hamuuijua…lol…
Anyways, Linda namsamehe maana dozi aliyopata last yr bado inampelekesha, she never got over it. Ila mwanamke wa kiislam kutafuta shari mwezi wa Ramadhan inahusu jamani? alafu akitoka hapo anaenda kuswali anapiga picha sugu za miguu anasema anasali sana. lol…. Lakini namsaheme as you all know
mtu yoyote ambae alishatumia unga au kuuza unga akili zao huwa hazirudi kuwa fresh. Maana huyu jimama nae badala akae ahta afikirie hivi kweli mange anaweza kununua kitu dola 175 alafu akauza dola 800? yani badala afikirie linakulupuka tu. Huyu laana za watoto wa watu alowafanya mandondocha na midawa yake itamsumbua mpaka anakufa hivi mama gani unamjua wewe wa age yake anaefanya ujinga huu instagram?
kilichonisikitisha zaidi ni kwamba na yule mwanae Leyla anae eti kavalia njuga issue? omg, huyu mtoto yani kweli amekuwa shangingi kama mama yake?
I swear to God mie Bhoke akikutana na watu ambao siongei nao ataenda na kuwaamkia wabaki wanashangaa maana she doesnt know that side of my life na wala simuhusishi mtoto, imagine huyu Leila badala akarudie amalize high school eti nae ana deal na drama za mamake instagram. I feel bad for this kid, duh mwenyewe Mungu amuepushe huyu mtoto maana anapoelekea ni atakuwa shangingi ka mamake.
Hivi we shangingi mzee unapata wapi muda na mimi? si unajifanya uko busy una madeal ? why are you still on my case?Unajifanya unajua biashara ungekuwa unajua biashara maduka yako yale ya mwaka 47 yasingekufa, ungekuwa nayo hadi leo. Ila sababu ni mshari na mwenye roho mbaya ndo maana leo hii at that age bado unashindani with people 10 yrs your junior. By now ulitakiwa uwe on a whole different league ila bado unasugua gaga at that age.
Hivi ukiulizwa for the more than 15 yrs that you have been in America umepata nini utasemaje??? Naomba kuuliza tu.
Zaidi ya kuzaa watoto wanne na wanaume wanne, watoto wasiotakiwa na baba zao mpaka unawapa jina la babako, kwani ulizaa na babako???
First born wako ulishindwa hata kum guide angalau amalize high school? really free education na bado mtoto hamalizi high shcool? sasa umeone matokeo yake anaingilia ugomvi wa watu wazima ,yani keshakuwa kama mamake…….. Huko aliko asipoanza kudeal drugs sijui maana ndo ilikuwa kazi ya mamake….
Haya huyu changu wa wa west nae akapokea issue…lol…
Hivi mmeona waliojifanya kuvalia njuga ni wale wale mataahira wetu wa kila siku?? hakuna mwenye akili zake alieongelea hili coz
wanajua lazma kuna kitu ndani yake especially cos mimi nilikuwa sijaongea……
We Stella uwiiiii unikome na uniache naomba uendelee kudeal na washenzi wenzio, uwiii niache sawa??? Umekaa marekani more than 10yrs
hivi ukiulizwa ume achieve nini marekani utasema nini? Nahisi utasema makalio yako yamekuwa makubwa jinsi ulivyo punguwani. Baba yako (ex boyfriend wako) alihonga
kanisani wakaachwa mayatima wa ukweli ukajifanya wewe yatima ukachukua nafasi ya mayatima wa ukweli badala sasa uje huku ufanye ya maana
umekalia kufanywa mpira wa dana dana na wanaume. You came here on a full scholarship sababu ya uyatima feki wako na bado shule imekushinda mpaka student Visa ikawa revoked. Darasani huendi kazi kwenda mabaa kuvizia wanaume……
Kwanza siongei na illegal immigrants mimi. Badala ukae utafute makaratasi unakaa kunitafuta mimi. Unajibenua benua insta, maskini vitoto vya watu watu huko bongo vinadhani maisha marekani mazuri kumbe hamna kitu, maisha ya kubangaiza ulalwe na wawest ndo ukanunue kiatu, au nywele . Eti mzuri, wazuri wanaachwa?ungekuwa mzuri usingekuwa unapigwa kibuti kila baada ya siku mbili, kha, mwanamke gani usieweza kukaa na bwana hata mienzi 6???
Mimi sio mwenzio mimi ni mtafutaji kima wewe, nna uwezo wa kulala ,nikala ,nikavaa  bureeee, nna mume mwenye upendo na mapenzi na mimi  na uwezo wa kuniacha niwe stay at home mom lakini its not im my nature mimi ni mtafutaji, nataka kuwa na changu, nahangaika mpaka mume wangu hanielewi why nahangaika hivi anatamani nikae nyumbani nimlele wanae full time, ila najua kuna leo na kesho Mungu anaweza kumchukua mume wangu, je ntaanzia wapi? ntaleaje wanangu?
ndo maana najituma. Na sijaanza leo, nilikuwa nna baba mwenye kunipa more than what i needed na still i was hustling, uliza waliosoma na mimi Uni,
nimeanza kuandaa miss Dar Indian ocean mwaka  2003 na hapo nakaa home nalelewa  na baba yangu nna kila kitu ila bado nilikuwa nahangaika kwenye jua Dar natafuta sponsorship ya Miss Dar Indian Ocean,mpaka babangu siku moja alilia machozi kuwa namwaibisha jinsi navyoomba watu hela ya sponsorship nikamwelesha maana ya sponsorship akaelewa ila akaniuliza how much will i make kwenye show ? nkamwambia 1.5m akasema niache atanipa hizo pesa, kesho yangu akanipa cheque 1.5m nikarudi zangu hostel mabibo na bado nikaandaa kisirisiri, kaja kujua nishafanya show, nikamrudishia pesa zake. Thats just me, napenda kuwa na kitu changu hata kama kinanipa dola 10 ila ni changu. sasa wewe mwenzangu ni tofauti ukishalalwa ukapewa dola 100 ukaenda kununua nguo ukapiga picha ukaweka insta basi umeridhika na maisha.
Sasa mwenzio nna hustle wewe unataka kuniharibia biashara,tatizo nimesoma hata siku moja mburula alieishia form 4 will not be my down fall. Hivi kweli u thought wewe na huyo ex muuza unga  ndo mngeniaibisha leo????? Wewe hapa kisiki hamniwezi.
We endelea kujibenuabenua huko instagram hayo ndo unayoyaweza. Ila chonde chonde wadogo zangu mlioko bongo msije pagawa na mapicha marekani hamna kitu, huyo nyau hata akifiwa na babake (ex boyfriend) hawezi kwenda kuzika hana papers na mtu akimshikia bango anarudishwa bongo juu juu…..
Hana elimu, hana future sasa anataka kuingia kwenye hollywshopaholics, nikome mchaga wewe… Alafu sijui mchaga gani huyu jamani, uwiii wachaga naowajua mimi very hard working  ni watafutaji wa hela, kwa kweli sijui wachaga wauza sura.
Haki ya nani ukiniwekea huyu na Flora lyimo Mbuta nanga mara 100 Mbuta Nanga. Bora Mbuta Nanga anapiga picha na chupi anazouza ,angalau anapata vijihela vya kubadilisha mboga sasa huyu anapiga picha na chupi huku halipwi?…… Uchangu usiolipa ni shiderrr……
Ungekuwa na akili ungetafuta bwana wa kukuhonga elimu usome angalau siku ukirudishwa kwenu uwe na elimu, sasa wewe unataka kuhongwa kuongezewa makalio…. Shule inasaidia sana hivi wanaume gani siku hizi wanaoa wanawake sababu ya matako makubwa……Wenzio tulivyokutana na waume zetu hatukuomba hela ya kiatu tuliomba kusomeshwa Masters sasa wewe punguani ukilipiwa nywele saloon basi miguu yote unaachia angle 90 degrees
Wewe na huyo mvuta bangi mwenzio mnikoooooo. I have been in this country for 2 yrs only and made significant progress, bado sijafika napopataka au kupata mafanikio makubwa ila atleast nimesonga mbele and thats 2 yrs baby, come check me after 5 yrs…. Na huyo jinga anaetangza kona zote Mange hana nyumba US au Bongo, mwambie aendelee kuchungulia humu kuna simu atapata ugonjwa wa moyo….mfyuuuuuu……
Haya stella (changu wa wawest) na Linda Private Jeti aka Muke ya mume mwenye bankruptcy  nawapeni kazi,
Naomba muongee na huyo African American wa mawigi , kwa vile mmeshakuwa shoga zake
please mwambie nywele zangu nimezituma kwake, as she can see kwenye hii risiti ya Pay Pal. Please mwambie akizipata tu anitumie fastaaaaaa….
Uwii angejua vilaza anaoongea nao, hakuna hata mmoja mwenye uwezo wa kununua hata wigi la
$50 let alone la dola mia 800…
Haya nimemaliza, mnanijua nikichukia huwa naandika kitabu… Poleni someni taratibu,chukua hata siku tatu sio lazma umalize leo leo…..
Wateja wangu wa mawigi hii biashara ipo pale pale tena sana sana sasa hivi mmjua jinsi gani im fair kwenye biashara nahisi ndo mtanunua zaidi…..
Niliwaambie instagram subirini nikijieleza mtanipenda mara 100 ya zamani….lol….
Kwa wateja wangu mliopenda zile wigs jana hakijaharibiaka kitu, nimempata mtu mwingine  tena huyu kasema ni family business
wako kama wanne sisters wanatengeneza, wakinitumia picha tu nawarushia insta….
What a waste of my time… Yani leo ningemaliza website yangu naona ila ndo hivyo mashetani waliona watucheleweshe kidogo. Kwa mlioenda kunitetea pande zile ahsanteni sana si mnajua wale mablack hawanijui basi wakiona kina mama bankruptcy wanacomment ushuzi wanaamini.

PS: Kuna mtu nimeshangaa hakuingia kwenye hii ngoma, yani sijaamini maana huyo ndo zamani ndo angelianzisha. BIG UP RACHEL TEMU. UMEKUWA SIKU HIZI…NIMEKUPENDA BURE….LOL……HAWA NYAU WENGINE WAMEGOMA KUELEWA SOMO ILA WATAELEWA TU.

Source: u-turn.co.tz

0 comments :

Post a Comment