Home » » Giuliana Rancic (Mtangazaji wa E-NEWS) akiwa na mtoto wake Duke.

Giuliana Rancic (Mtangazaji wa E-NEWS) akiwa na mtoto wake Duke.

Written By Bewith Jeddy on Wednesday, July 16, 2014 | 1:08 PM

Giuliana Rancic (Mtangazaji wa E-NEWS) akiwa na mtoto wake Duke aliyempata kwa njia ya kupandikiza Mbegu kwa mwanamke mwingine (surrogation) kutokana na yeye kuwa na ugonjwa wa CANCER ambapo sasa hivi amepona ugonjwa huo.

0 comments :

Post a Comment