Home » » BREAKING NEWZZZ...AJALI.... AJALI...AJALI...MBAYA YA .BASI LA SUPER NAJIMNISA SHINYANGA

BREAKING NEWZZZ...AJALI.... AJALI...AJALI...MBAYA YA .BASI LA SUPER NAJIMNISA SHINYANGA

Written By stephen kavishe on Tuesday, July 22, 2014 | 2:45 PM

Hivi punde tumepokea habari mbaya kutoka mkoani Shinyanga, Basi la super Najimnisa limepata ajali mbaya baada ya mipira ya matairi kupasuka, unaambiwa wapo baadhi ya waliokufa na majeruhi ni wengi sana na bado hatua za kuokoa bado zinaendelea muda huu, tutaendelea kuwajuza kupitia kwa mtaoa habari wetu ambaye ni msanii alikuwa anatoka mwanza kuelekea Dodoma ambapo waliwa wanashoot muvi huko:


0 comments :

Post a Comment