Home » » BREAKING NEWS TUKIO KATIKA PICHA: LORI LA MAFUTA LAPINDUKA ENEO LA MSITU WA SAO HILL MUDA HUU, WANANCHI WAGOMBANIA KUCHOTA MAFUTA.

BREAKING NEWS TUKIO KATIKA PICHA: LORI LA MAFUTA LAPINDUKA ENEO LA MSITU WA SAO HILL MUDA HUU, WANANCHI WAGOMBANIA KUCHOTA MAFUTA.

Written By stephen kavishe on Friday, July 18, 2014 | 8:22 PM


 Lori la Mafuta likiwa limepinduka muda mchache uliopita katika eneo la msitu wa Sao Hill

 Baadhi ya wakazi wa eneo hilo wakiwa wanakimbilia kuona ajali ya Lori hilo la mafuta
 Wananchi wakiwa wanakimbilia kuchota mafuta hayo yaliyo mwagika katika eneo hilo bila kijali hatari ya kulipuka kwa mafuta hayo.
 Jitihada za kuliondoa Lori la mizigo ambalo nalo limepata ajali eneo hilo zikiwa zinafanyika muda huu ili kupisha Magari mengine kuendelea na Safari.
 Askari wa usalama wa Barabarani wakiwa wamewasili katika eneo la Ajali ilipotokea
Ulinzi ukiwa umeimarishwa katika eneo hilo 

Mpaka tunaondoka eneo la Tukio hakuna taarifa

0 comments :

Post a Comment