Home » » BREAKING NEWS: LORI LA MIZIGO LAPATA AJALI ENEO LA NYOLOLO IRINGA NA KUSABABISHA FOLENI KALI MUDA HUU, ABIRIA WAAMUA KUCHIMBA NJIA YAO.

BREAKING NEWS: LORI LA MIZIGO LAPATA AJALI ENEO LA NYOLOLO IRINGA NA KUSABABISHA FOLENI KALI MUDA HUU, ABIRIA WAAMUA KUCHIMBA NJIA YAO.

Written By stephen kavishe on Wednesday, July 2, 2014 | 11:37 AM

 Lori hilo likiwa limeziba njia muda huu
 Abiria wakiwa wanajichimbia njia yao ili waanze kupita
 Abiria wakiwa wanaendelea kuchimba njia muda huu
 Magari yameanza kupita porini baada ya kushindikana kutolewa kwa Lori hilo lililoziba Barabara
 Mengine yanakatiza kwenye mashamba ya watu

0 comments :

Post a Comment