Home » » BAADA YA SHILOLE ...HATIMAYE JACK WOLPER NAYE AAMUA KUMWONYESHA SERENGETI BOY WAKE

BAADA YA SHILOLE ...HATIMAYE JACK WOLPER NAYE AAMUA KUMWONYESHA SERENGETI BOY WAKE

Written By stephen kavishe on Tuesday, July 22, 2014 | 8:00 PM




Modo wa Tanzania anayejulikana kwa jina la Calisah ambaye amewahi kushiriki Mr.Tanzania 2013-2014 ameandika picha za kimahaba katika picha za msanii maarufu wa filamu, Jackline Wolper ‘Gambe’ “Umenifanya nisitamani mwanamke yeyote katika dunia hii. Nakupenda sana Wolper Gambe wangu coz i get everything from you.I love you kamdoli kangu, kichuna changu,” hayo ndo maneno ya kimahaba aliyoyaandika na kumtumia Wolper.

0 comments :

Post a Comment