Home » » ANGALIA AINA TOFAUTI ZA HASIRA HADI JIBABA KUTAFUNA JEZI, KISA 7-1 ZA UJERUMANI

ANGALIA AINA TOFAUTI ZA HASIRA HADI JIBABA KUTAFUNA JEZI, KISA 7-1 ZA UJERUMANI

Written By stephen kavishe on Thursday, July 10, 2014 | 3:33 PM

Mwanamitindo, Alessandra Ambrosia na Adriana Lima pia waliangalia mechi ya Nusu Fainali ya Kombe la Dunia Brazil ikifungwa 7-1 na Ujerumani jana
Mandatory Credit: Photo by Laurentvu/Taamallah/Sipa/REX (3898640ad)
 Gerard Butler and Ellen Jabour during the 2014 FIFA World Cup Brazil Round of semi-final match between Brazil and Germany at Arena Mineirao in Rio De Janeiro, Brazil.  08/07/2014
 Brazil v Germany, 2014 FIFA World Cup football match, Semi Final, Arena De Sao Paulo, Sao Paulo, Brazil - 08 Jul 2014
Gerard Butler na Ellen Jabour pia waliangalia mechi hiyo Uwanja wa Mineirao mjini Rio De Janeiro
Humiliated: A dejected Brazil fan looks on, resting her chin on her hand, as she watches the host nation suffer the worst defeat in their historyMwanadada akiwa na hasira mpaka basi baada ya kipigo 
BELO HORIZONTE, BRAZIL - JULY 08: An emotional Brazil fan reacts after being defeated by Germany 7-1 during the 2014 FIFA World Cup Brazil Semi Final match between Brazil and Germany at Estadio Mineirao on July 8, 2014 in Belo Horizonte, Brazil.  (Photo by Laurence Griffiths/Getty Images)
Shabiki aliyekasirika akila jezi ya Brazil baada ya timu hiyo kufungwa 7-1 na Ujerumani katika Nusu Fainali ya Kombe la Dunia jana

0 comments :

Post a Comment