Home » » Alichoandika Peter wa P Square baada ya kuipotezea harusi ya kaka yake.

Alichoandika Peter wa P Square baada ya kuipotezea harusi ya kaka yake.

Written By stephen kavishe on Sunday, July 20, 2014 | 9:30 AM

24
Kama kaka yake ambavyo hakuhudhuria harusi yake, basi Peter Okoye na yeye amepotezea harusi

ya kaka yake Jude Okoye. Ndugu hao walionekana  kwamba wamemaliza tofauti zao lakini baada ya Peter kupotezea harusi ya kaka yake mashabiki wamekuwa wakimwambia ayamalize na ndugu yake.
Mashabiki hao wanamwambia kupitia twitter lakini baadhi yao kinachowakuwata ni kuwa blocked. Peter alichukuwa muda wake kuandika maneno haya kuhusu hii ishu.
1
2
MAONI

0 comments :

Post a Comment