Home » » AJALI YA MAGARI MAWILI NA PIKIPIKI YAPOTEZA MAISHA YA WATU WAWILI

AJALI YA MAGARI MAWILI NA PIKIPIKI YAPOTEZA MAISHA YA WATU WAWILI

Written By stephen kavishe on Tuesday, July 15, 2014 | 12:28 PM


Gari aina ya Rand Rover likiwa limeharibika vibaya baada ya kugongana uso kwa uso na Toyota Corolla.

Gari dogo aina ya Toyota Corolla lilikiwa limeharibika vibaya baada ya kugongana uso kwa uso na gari aina ya Rand Rover katika makutano ya barabara ya Arusha/Moshi jirani kabisa na kipita shoto(Keep left) cha Arusha Mifuko maalumu ya kuzuia abiria asiumie wakati wa ajali ikiwa imefumuka baada ya ajali . Pikipiki ikiwa chini ya gari aina ya Rand Rover baada ya kugongwa.

0 comments :

Post a Comment