Home » » AJALI MBAYA YA NOAH HUKO MJINI MOROGORO

AJALI MBAYA YA NOAH HUKO MJINI MOROGORO

Written By stephen kavishe on Wednesday, July 30, 2014 | 10:00 AM

Hili ni gari la Noah lililopata ajali jana usiku wa saa 8 huko Morogoro Mtaa wa Mazimbu reli ya pili likiwa na vijana wanne ambapo mmoja wao kaaga dunia.
Hii ni nguzo iliyogongwa na gari hilo mara baada ya kuhama njia.
Sehemu ya ubavu wa kulia wa gari hilo ukiwa umeharibika vibaya.Upande wa kushoto wa gari hilo.Raia waliokuwa eneo la tukio wakishuhudia ajali iliyotokea.

0 comments :

Post a Comment